top of page

Hodi Wachunga

Hodi wachunga, msiwe na woga Amkeni upesi, Bethlehemu mje nasi Alipozaliwa Mwokozi wenu


Haya twendeni, yumo pangoni Nyasi alalia alowashukia Mwenyeji wa mbingu Mwokozi wenu


Pamoja naye mna mamaye Yeye na Yosefu, mlinziwe mtukufu Wamtunza kitoto, Mwokozi wenu


Mtukufu Mungu katika mbingu Na kwenu amani kwa watu amani Wenye kumwungama Mwokozi wenu


Wakristu nyie twende na siye Kwenye mwana mchanga kama`o wachunga Nasi tumwabudu Mwokozi wetu

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page