top of page

Hodi Ee Wachunga

Tukamuone Mtoto, tumwimbie na nyimboTumpigie na ngoma, aleluya leo x2

  1. Hodi ee Wachunga, amkeni msiwe na woga, Amkeni upesi amkeni hima twende Bethlehem x2

  2. Mwokozi kazaliwa, mjini mwa Daudi, Twende tumwone, tukamsujudu

  3. Nyasi amelalia, jukumu la Maria, akimtunza Mtoto, Mkombozi wetu

  4. Wafalme wa dunia, wanajipangapanga, wanafanya ghasia, juu ya Masiya

  5. Tuimbe kwa furaha, na ngoma tumpigie, kwa furaha na shangwe, tuimbe aleluya

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page