top of page

Hodi Hodi Bwana

Sop/ Hodi hodi hodi hodi Bwana nifungulie milango, nipokee Bwana mimi mwanao naja kwako leo, Naja kwako Bwana kwa magoti na kwa unyenyekevu mkubwa, hodi hodi Bwana nifungulie milango, (Hodi hodi hodi hodi naja Bwana, mbele yako kwa unyenyekevu mkubwa, nichague mimi ewe mungu wangu iliniwachunge kondoo wako.)x2


Alto/ Hodi hodi hodi hodi Bwana nifungulie milango, nionyeshe njia Bwana, nijekwenye utukufu wako Bwana wangu hodi, nifungulie milango, (Hodi hodi, hodi hodi hodi naja Bwana, mbele yako kwa unyenyekevu mkubwa nichague mimi ewe mungu wangu iliniwachunge kondoo wako).x2


Tnr/ Hodi hodi hodi hodi Bwana nifungulie milango Hodi Bwana, hodi nifungulie milango,(hodi hodi hodi hodi naja Bwana mbele yako kwa unyenyekevu mkubwa, nichague mimi ewe mungu wangu iliniwachunge kondoo wako.) x2


Bass/ hodi hodi hodi hodi Bwana nifungulie milango, Hodi hodi hodi hodi naja Bwana mbele yako kwa unyenyekevu mkubwa nichague mimi ewe mungu wangu iliniwachunge kondoo wako.)x2


  1. Ee mungu baba mwenyezi wewe wajua yote yaliyomo ndani ya moyo wangu, Wewe Bwana wayajua makosa yangu nisamehe Bwana kwani ninakupenda.

  2. Nisafishe Bwana wangu uovu wangu ili nitakate niwe kama theluji, Nisimame mbele yako nikiwa safi kwa nuru yako Bwana na mimi ning'ae.

  3. Mbele yake mama yetu maria najilaza mbele yako kifudifudi,

  4. Mbele ya viumbe vyote vya duniani najilaza mbele yao kifudifudi.

  5. Chini ya jua chini ya mwezi na nyota najilaza mimi Bwana unibariki, Mbele ya hekalu lako Ee Bwana wangu naja kwa upole kama ndama mkiwa.

33 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page