top of page

Hiki ni Chakula cha Mbingu




Hiki ni chakula cha mbingu (b: hakika), mkate safi wa wapendao (na pia), kweli ni uzima wa roho x2


1. Yesu shibisha roho yangu, Bwana tuliza hofu yangu, kaa katika moyo wangu.


2. Nipe nguvu za kukujia, nipe neema za kukufuata, nipe moyo wa kukupenda.

29 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page