top of page

Heri Yetu

(Heri yetu) Heri yetu(sisi) tumealikwa mezani mwa Bwana (Meza yake Bwana ni meza ya upendo, anatulisha chakula cha mbingu) x2

  1. Meza yake Bwana Yesu, ni Karamu kweli ya upendo.

  2. Chakula chenye uzima, ni mwili na damu yake Yesu.

  3. Tujongee kwa imani, tumpokee Mwana wake Mungu.

  4. Hiki ni chakula kweli, kilichoshuka toka mbinguni.

  5. Bwana Yesu tujalie, siku zote chakula cha mbingu.

18 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page