top of page

Hazina Mbinguni

Jiwekeeni hazina yenu, hazina yenu mbinguni (mbinguni) kusiko haribika kitu x2 (kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji; Jiwekeeni hazina yenu mbinguni) x2

  1. Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo, na wezi huvunja huvichukkua na kuvi

  2. Bali jiwekeeni hazina yenu mbinguni kusikoharibika kitu kusikoharibika kitu

  3. Kwa kuwa hazina yako ilipo ndipo na moyo wako utakapokuwa ndipo na moyo wako utakapokuwa.

17 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page