top of page

Haya Tena


(Haya haya haya tena haya tumerudi tena kukuimbia kukusifu kwa nyimbo tena watu kuwainua tena wakutukuze wewe) x2

  1. Teremka uzisikilize nyimbo tulizokutungia Karama ulizotujalia

  2. Njoo Bwana uzisikie sauti tamu ulizoumbaWanao tunakurudishia

  3. Tega sikio usikie midundo tunayokupigia, Yote hii wewe utukuzwe

  4. Tupa jicho ujionee miondoko tunayokanyaga Mifupa uliyotujengea

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page