top of page

Harusi Kidededede


  1. Bwana harusi na bibi harusi, leo mmefunga ndoa ya maisha, Kaeni kwa amani kidededede) x2

  2. Jitulize mjisikie sukari, siku ya leo ni yenu, Furahini, mmepambwa maua mnapendeza

  3. Bwana arusi kwanza wachangamka, bibi arusi chachawa, Chezacheza, penzi lenu leo limekamilika

  4. Mapenzi yenu yote yatasitawi, hakika yatasitawi, Yatamea, kama ule mwerezi wa Lebanoni

  5. Baraka zake Mungu ziwashukie, kaeni pasipo shida, Siku zote nyumba yenu iwe hekalu la Mungu.

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page