top of page

Harufu Nzuri


(Sala yangu na ipae mbele yako Bwana kama moshi wa ubani moshi wa ubani) x2 Na kuinuliwa mbele ya uso wako (Bwana) uso wako uso wako mtakatifu (ikupendeze Ee Mungu) X4

  1. Ee Mungu tunakuomba uipokee sadaka yetu ya leo kwa moyo wa huruma ee Mungu kwa moyo wa huruma

  2. Harufu nzuri ya ubani izisindikize sala zetu za leo nayo maombi yetu ee Mungu nayo maombi yetu

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page