top of page

1. Mbona mlishangaa walipo mhukumu kristo afe Hamkujua ni mwana wa mungu hamkujua kumbe hamkujua yaliyoandikwa yalikukua yanatimia

Na sasa bwana yesu kafufuka ni kweli kama alivyosema tena ulimwengu kaukomboa nikama ilivyotabiriwa Shangwe na furaha iyelee ni mzima ni mzima Bwana amefufuka iyelee ni mzima alleluiaKashinda mauti iyelee ni mzima ni mzima anaishi milele Ni mzima alleluia


2. Mbona mlishangaa giza lilipo ifunika nchi Mbona mlishangaa pazia la hekalu kupasuka


3. mbona mlishangaa jiwe la kaburi kuvingirishwa

Mbona mlishangaa kukuta sada tupu kaburini

Hitimisho


Mbingu zinashangilia ulimwengu shangilia amefufuka Kristo ni shangwe kuu (alleluia) × 4


Amefufuka ilivyoandikwa alleluia kaiweka wazi alleluia Milango ya kuzimu alleluia amefufuka ilivyoandikwa alleluia

(Alleluia) × 4 Amefufuka

8 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page