top of page

Furahini Katika Mji

Furahini katika mji wa Daudi amezaliwa mtoto x2 Tumepewa mtoto mwanaume mwenye ufalme mabegani pake enyi mataifa njooni tufurahi tumshangilie Bwana Tumshangilie Bwana Yesu kazaliwa x2


Kwa maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumshangile (Bwana) Tumepewa mtoto mwana wake Mungu kwetu kazaliwa, tumshangilie (Bwana)


Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake, tumshangilie (Bwana) Ataitwa jina lake mshauri wa ajabu, tumshangilie (Bwana)

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page