top of page

Furaha kwa Ulimwengu

1. Furaha kwa ulimwengu, Bwana amekuja kila moyo umpokee.

Kila moyo umpokee- viumbe imbeni x2 viumbe viumbe vyote imbeni.


2. Na Bwana atatawala watu na waimbe miti milima na mawe,

Miti, milima na mawe (kariri furaha) x2, Kariri kariri furaha kubwa


3. Atatawala kwa wema atawafundisha, mataifa haki yake.

Mataifa haki yake (ajabu za pendo) x2. ajabu, ajabu za pendo lake.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page