top of page

Fadhili za Bwana

Fadhili zake Bwana nitaziimba milele x 4.

  1. Nitakushukuru ewe Bwana Mungu wangu kwa wema wako wote, ulionijalia maishani mwangu.

  2. Nikurudishie nini Bwana Mungu wangu nitakupa nini kitakacho kuwa sawa na wema wako.

  3. Umeniongoza katika maisha yangu kwa mapendo yako mchana a usiku wani simamia.

  4. Hata kwenye shida wewe wani imarisha wanisaidia nikiwa na huzuni unanifariji.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page