top of page

Ewe Maria Umebarikiwa

Ewe Maria umebarikiwa kuliko wanawake

wote (Umetuzalia mtoto mwanaume

mwenye ufalme mabegani pake) x2


Bikira Maria umebarikiwa kuliko

wanawake wote, umetuzalia mtoto

mwanaume mtawala ndiye mfalme wetu.


Mtoto mwanaume ni Bwana mtawala wa

mbingu na dunia pia, Maria ni mama ni

mama wa Mungu, pia ni mama yetu sisi.


Ee mama wa Mungu tunakupongeza

kwa kutuletea mwokozi, Maria twaomba

maombi yetu yafike kwa Yesu mwanao.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page