top of page

Ewe Maria Umebarikiwa

Ewe Maria) umebarikiwa kuliko wanawake wote, umetuzalia mtoto mwanaume mwenye ufalme wako ndani.

  1. Nionee huruma Mama mimi nilie mkosefu, mwili wangu ni dhaifu kwa sababu ya dhambi zangu.

  2. Na magonjwa niponye mama kwa jina la mwanao Yesu, naye roho mtakatifu aimarishe nguvu zangu.

  3. Ee Mama wa Mungu tunakupongeza kwa kutuletea mwokozi, Maria twaomba maombi yetu yafike kwa Yesu mwano.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page