top of page

Ewe Baba (Baba yetu mwema uliye mbinguni )yetu wa mbinguni (Jina lo litukuzwe utawale petu) Njoo utawale petu) daima na milele )x2

  1. Utakalo lifanyike, daima na milele, Duniani kama mbinguni

  2. Tupe leo chakula chetu,chakula cha kila siku

  3. Tusamehe makosa yetu,kama vile twawasamehe walio tukosea sisi

  4. Situtie majaribuni ,walakini utuopoe maovuni tuopoe

  5. Kwa kuwa ufalme ni wako.Na nguvu na utukufu hata milele

0 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page