top of page

Enyi Watu Wote

Enyi watu wote pigeni makofi x2) mpigieni Bwana Mungu wetu, mshangilieni kwa vigelegele*2.

1. Enyi watu pigeni makofi mpigieni Mungu ,pigeni kelele kwa sauti za shangwe

2. Kwa kuwa Bwana aliye juu ni mwenye kuogofya, ndiye Mfalme wa mkuu wa dunia yote.

3 Bwana atawalisha watu wanchi yote, na mataifa chini ya miguu yake.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page