top of page

Enyi Watu Wote

Enyi watu wote pigeni makofi (pigeni makofi x 2)

(mpigieni Mungu makofi X 2) (mpigieni Mungu x 3

kelele kwa sauti, sauti ya shangwe)

1. Imbeni zaburi piga matara, kinubi kinanda piga panda, kwa sauti nzuri.

2. Mfurahieni shangilieni, pigeni vigelegele, kwa furaha enyi wenye haki

3. Maana ni vema kwa pendeza, kusifu ni kuzuri, kumwimbia Bwana Mungu wetu.

4. Mataifa yote sifuni Bwana, kwa maana fadhili, zake kwetu ni za milele.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page