top of page

Enyi Watu wa Galilaya

Enyi watu wa Galilaya mbona mmesimama x2 mkitazama Mbinguni atakuja vivyo hivyo mlivyomwona akienda zake Mbinguni aleluya Aleluya imba imba imba x3 Mwimbieni Bwana mfalme wetu amepaa kwa kelele za shangwe x2


Watu wote mpige makofi mpigieni Mungu kelele ni mkuu wa dunia yote


Mungu amepaa kwa shangwe kwa sauti ya baragumu, kwa kelele za shangwe kubwa


Mwimbieni mfalme wetu, mwimbieni nyimbo za shangwe, mkipiga vigelegele

6 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page