top of page

Enyi Watu Msifuni Bwana

Enyi watu wote msifuni Bwana, Enyi malaika mwimbieni Mungu Enyi viumbe wa Bwana msifuni. Mwimbieni Bwana wimbo Mpya….. (tena) kwa kuimba (pia) kwa vinubi (pia) kwa vigelegele Na shangwe, tumsifu Mungu wetu x 2

1. Pazeni sauti, imbeni zaburi, mtukuzeni Mungu wetu wa Yakobo.

2. Mbele ya miungu, nitakuimbia, nitalisifu jina lako wewe mkuu.

3. Enyi makerubi, nanyi maserafim, mwimbieni Mungu wetu bila kuchoka.

4. Milele milele, nitakuimbia, nyimbo za shangwe na furaha nitasifu.

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page