top of page

Enendeni Ulimwenguni Kote

(Enendeni ulimwenguni kote alleluia x 2 mkawafanye mataifa yote, kuwa wanafunzi wangu alleluia x 2.

1. Nendeni hubirieni mataifa, mkiwabatiza kwa jina langu mimi.

2. Nendeni hubirieni watu waote, wajue neno langu ili waokoke.

3. Nendeni mkawafanye watu wote, kuwa wanafunzi wangu siku zote.

4. Nendeni ulimwenguni bila hofu, tangaza neno langu kwa viumbe vyote

5. Nendeni ulimwenguni kote kote, mkahubiri injili kwa kila kiumbe.

6. Aaminiye na kubatizwa yeye kweli, hata hukumiwa asema Bwana

17 views0 comments

Σχόλια

Βαθμολογήθηκε με 0 από 5 αστέρια.
Δεν υπάρχουν ακόμη βαθμολογίες

Προσθέστε μια βαθμολογία
bottom of page