top of page

Enendeni kwa Amani

Enendeni kwa amani, mkahubiri mliyo yasikiliza x 2

  1. Msiyageuza mliyoyasikiliza, na kuhubiri kinyume chake

  2. Muwe mfano bora kwa moyo na matendo, ili wengine wawatamani

  3. Ninyi ni wa mmoja kwa huo mwili na damu mlio pokea siku ya leo

  4. Mkiyatimiza mnayopaswa kutenda, naye mwenyezi ata furahi

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page