top of page

Ee Yesu

Ee Yesu wangu nakupenda mimi chakula changu, wewe ni chakula cha roho. Kila siku nakuwaza wewe shinda nami ukae ndani yangu nami ndani yako

  1. Chakula hiki ni mwili wangu kinywaji ni damu yangu tule tupate uzima wa milele

  2. Msipokula huu mwili wangu, msipokunywa hii damu yangu, kamwe hamtakuwa na uzima

  3. Alaye mwili na damu yangu, hukaa nami nami ndani yake nitamfufua siku ya mwisho

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page