top of page

Ee Viumbe Karibuni



  1. Ee Viumbe karibuni, Mungu wenu kamsifuni Ndiyo sakramenti kuu, mwili damu ya Yesu x2

  2. Ee Maria we utaanza, kumwimbia we wa kwanza

  3. Nanyi wote malaika, wa Mbinguni mtaitika

  4. Manabii na mababu, mwone jambo la ajabu

  5. Nyie mitume na wenjili, tukuzeni fumbo hili

  6. Mashahidi, waungana, jongeeni kutazama

  7. Ninyi mabikira pia, sichokeni kumwimbia

  8. Ee watakatifu wote, mwimbieni siku zote

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page