top of page

Ee ndugu Peleka

Ee ndugu peleka talanta yako kwa Bwana, kwani Mungu alikupatatia cha kiasi chako

Bass: Nawe mrudishie Bwana kama wale watumishi

Wote: Kama wale waliopewa talanta mbili na tano

  1. Kumbuka waliopewa talanta mbili na tano walileta mbili na tano faida, Bwana wao akawasifu kwa uaminifu wao, akawapokelea nao akawapenda.

  2. Kumbuka Mungu alivyokupatia kwa wiki nzima, atataka kufanya hesabu na ukumbuke kutoa hesabu kama wale wawili naye Mungu wako atakupokelea.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page