top of page

Ee Mungu Uniondolee

Uniondolee dhambi nitakaze (B; Bwana) unioshe niwe mweupe ee x 2 x 1 x 2.

1. Ee Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu nitatubu kweli nimekosa.

2. Kwa mawazo yangu, na maneno yangu Baba mimi kweli nimekosa.

3. Kwa matendo yangu, wajibu kutotimiza Baba mwema kweli nimekosa.

4. Nimekosa mimi, nimekosa mimi nimekosa naungama.

5. Ewe Mama Maria, Bikira daima Malaika wote wa mbinguni.

6. Pia watakatifu, nanyi ndugu zangu muniombee kwake Mungu Baba.

7. Baba nimetubu, nijaze nguvu zako Baba mwema sitakosa tena.

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page