top of page

Ee Maria Mama wa Mungu

Ee Maria mama wa Mungu, utuombee sisi wanao

  1. Mwenye heri wewe, Bikira Maria, tunakusalima Maria,

  2. Uliyemchukua, aliyekuumba, tunakusalimu Maria.

  3. Umetuzalia, M-kombozi wetu, tunakusalimu Maria

  4. Uliyekingiwa, dhambi ya asili, tunakusalimu Maria

  5. Uliyepalizwa, mbinguni kwa Mungu, tunakusalimu Maria

  6. Mama wa kanisa, Mama yetu mwema, tunakusalimu Maria

  7. Wastahili sifa, za vizazi vyote, tunakusalimu Maria.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page