top of page

Ee Bwana twaomba

Ee Bwana twaomba upokee sadaka yetu hii tunakutolea, (Twakusihi sana ibariki Baba iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli)

  1. Baba twaleta na mkate na divai kazi ya mikono yetu ibariki Baba iwe safi sana kama ya Abeli

  2. Baba twaleta na fedha zetu nazo ni kidogo sana Baba zipokee Baba zikupendeze ziwe kama zile za Abeli.

  3. Baba twaleta na sala zetu, Baba twakuomba zisikilize twakusihi Baba zisikilize, kama sala zile za Abeli.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page