top of page

Ee Bwana Sistahili

Ee Bwana sistahili, sistahili ee Bwana uje moyoni mwangu x2 (Lakini) sema neno (moja) sema neno (moja tu) nami nitajongea mbele kwa karamu.

  1. Karamu ya Bwana yatupa uzima, ni mwili wa Bwana na damu yake.

  2. Hiki ni chakula, kutoka mbinguni, Bwana atuita kutushibisha.

  3. Huu mwili wangu, hii damu yangu, njoni kwangu nami nitawalisha.

  4. Siku zote Bwana, atulisha sisi, kwa chakula bora kutoka mbinguni.

  5. Atukuzwe Baba, atujalie, uzima tukila chakula hiki.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page