top of page

Ee Bwana Fadhili Zako

{(Ee Bwana x2) Fadhili zako zikae nasi x2} kama vile tulivyo kungoja wewe (Bwana) kungoja (wewe Bwana x2).

1. Kwa kuwa neno la Bwana, neno la Bwana lina adili, na kazi yake yote huitenda kwa uaminifu

2. Hupenda haki na hukumu x2. nchi imejaa fadhili za Bwana.

3. Tazama jicho la Bwana ni kwao wamchao, wazingojeao fadhili, fadhili za Bwana.

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page