top of page

Ee Bwana



Ee Bwana twakuomba upokee vipaji vyetu x2, hivyo vyote ni mali yako tumepata kwa wema wako pokea x2

  1. Mkate divai twakutolea- Twakuomba Baba upokee

  2. Mazao ya mashamba twakutolea- Twakuomba Baba uyabariki

  3. Pokea nazo nyoyo zetu- Pokea Baba twakuomba

  4. Na fedha za mifuko twakutolea- Twakuomba Baba tubariki

  5. Na kazi za mikono twakutolea- Twakuomba Baba zikupendeze

  6. Furaha na uchungu twakutolea- Twakuomba Baba upokee.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page