top of page

Ee Bwana

Ee Bwana twakuomba upokee vipaji vyetu x2,

hivyo vyote ni mali yako tumepata kwa wema wako pokea x2


Mkate divai twakutolea

Twakuomba Baba upokee


Mazao ya mashamba twakutolea

Twakuomba Baba uyabariki


Pokea nazo nyoyo zetu

Pokea Baba twakuomba


Na fedha za mifuko twakutolea

Twakuomba Baba tubariki


Na kazi za mikono twakutolea

Twakuomba Baba zikupendeze


Furaha na uchungu twakutolea

Twakuomba Baba upokee.

5 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page