top of page

Ee Baba Pokea Sadaka Yetu

Ee Baba pokea sadaka yetu tunakutolea, hiyo ni kazi ya mikono yetu wanadamu x 2

Twakuomba Uipokee (pokea) Ee Bwana Uibariki (bariki) Bwana Sadaka yetu tunakutolea

  1. Mkate pia divai tunakutolea, uipokee utakase na ubariki

  2. Nyoyo zetu tunakupa vyote mali yako, na fedha zetu twaleta Baba zipokee

  3. Na mazao ya mashamba Baba upokee, na zawadi kwa mavuno ya mikono yetu

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page