top of page

East Africa Community Anthem

1st stanza

Ee Mungu twaomba ulinde

Jumuiya Afrika mashariki

Tuwezeshe kuishi kwa amani

Tutimize na malengo yetu.


Chorus

Jumuiya yetu sote tuilinde

Tuwajibike tuimarike

Umoja wetu ni nguzo yetu

Idumu jumuiya yetu


2nd stanza

Uzalendo pia mshikamano

Viwe msingi wa umoja wetu

Natulinde uhuru na amani

Mila zetu na desturi zetu


3rd stanza

Viwandani na hata mashambani

Tufanye kazi sote kwa makini

Tujitoe kwa hali na mali

Tuijenge jumuiya bora


ABOUT EAST AFRICA COMMUNITY ANTHEM

  1. It has 3 Verses and a Chorus.

  2. It is Sung in Kiswahili and it also has an English Version.

  3. It is for the people who live in East Africa

  4. In most occasions, only one verse and a chorus is sung.


Member States

  1. Kenya

  2. Uganda

  3. Rwanda

  4. South Sudan

  5. Burundi

  6. Tanzania


Importance Role of EACA

To Promote Unity among the member states


Values Learnt From the EACA

  1. Responsibility

  2. Peace

  3. Respect

  4. Love

  5. Integrity

  6. Patriotism

  7. Unity

  8. Hardwork


Ocassions When EACA is Performed

During:-

  1. School Assemblies

  2. Security Parades

  3. State visit of a member state President

  4. Swearing in of Presidents and state officials

  5. Start and end of Sports and Games

  6. Public Holidays i.e Madaraka Day

  7. Death of Civil Servant/ Leader


30 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page