top of page

Dunia Imshangilie

1. Dunia imshangilie Bwana - tumtumikie

Kwa furaha. Tumwende na nyimbo za shangwe – tumtumikie kwa furaha.

Twendeni tuingie kwake, na nyimbo nzuri za shangwe – tumtumikie kwa Furaha.

Twendeni tuingie kwake, na nyimbo nzuri za shangwe x 2.

2. Mjuwe Bwana wetu ni Mungu…..

Sisi ni kondoo wa malisho yake…..

3. Kweli Mungu ni mwema sana……..

Huruma yake ni ya milele…………

4.Utukufu kwa Baba Mwenyezi……

Na Roho Mtakatifu ndani mwetu…….

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page