top of page

1. Dunia hii na vyote vilivyomo, ni mali yake Bwana wa ulimwengu (alitazama akaona ni vyema, aliviumba yeye mwenyewe) x2

Aliviumba aliviumba kaumba ee kaumba Hapo zamani, mwanzo wa ulimwengu x2

2. Vitu visivyo na uwezo wa kusema, ni mali yake Bwana

3. ‘Si wanadamu ni mali yake Mungu alituumba tuweze kumtambua alituumba yeye mwenyewe

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page