top of page

Chavara Mass





UTUHURUMIE

S: Ewe Bwana x3 tuhurumie

[All: (A: Ewe) Bwana tuhurumie, ewe Bwana tuhurumie ]x2


TB: Ewe Kristu x3 tuhurumie

[All: (A: Ewe) Kristu tuhurumie, ewe Kristu tuhurumie] x2


S: Ewe Bwana x3 tuhurumie

[All: (A: Ewe) Bwana tuhurumie, ewe Bwana tuhurumie ]x2


UTUKUFU

[S: Utukufu kwa Mungu mbinguni

All: Na amani kote duniani, kwao wenye mapenzi mema] x2


1.SA: Tunakusifu, tunakuheshimu, twakuabudu, tunakutukuza; twakushukuru Mungu kwa ajili ya utukufu wako mkuu.

TB: Ee Bwana Mungu, mfalme wa mbinguni, Baba Mwenyezi Muumba wa vyote; Ee Bwana Yesu mwana wa pekee,

mwanakondoo, mwana wake Baba.

2.SA: Uondoaye dhambi za dunia, tuhurumie, utuhurumie; uondoaye dhambi za dunia, ulipokee hili ombi letu.

TB: Unayeketi kuume kwa Baba, tuhurumie, utuhurumie; Kwa kuwa wewe ndiwe peke yako, Mtakatifu, peke yako Bwana.

3.Unis: Pekee yako mkuu Yesu Kristu, pamoja naye Roho Mtakatifu; Kwa utukufu wake Mungu Baba, milele yote, amina, amina


MTAKATIFU

S:Mtakatifu x3 Bwana Mungu

All: Mtakatifu Bwana Mungu, Bwana Mungu wa majeshi x2

TB: Mbingu na dunia zote zimejaa utukufu wako

All: Mbingu na dunia zimejaa utukufu wako ee Bwana x2

S: Hosana x3 juu mbinguni

All: Hosana juu mbinguni, hosanna juu mbinguni x2


TB: Mbarikiwa x2 ni ajaye kwa jina la Bwana

All: Mbarikiwa ni ajaye, ni ajaye kwa jina la Bwana x2


S: Hosana x3 juu mbinguni

All: Hosana juu mbinguni, hosanna juu mbinguni x2


MWANAKONDOO

[S: Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye makosa yetu, tuhurumie x4

A: Mwanakondoo, mwanakondoo, tuhurumie…tuhurumie x2

T: Mwanakondoo, mwanakondoo, tuhurumie x4

B: Mwanakondoo, uondoaye, mwana, tuhurumie, tuhurumie x2] x2


TB: Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye makosa yetu… mwanakondoo wa Mungu uondoaye oh…

SA: Mwanakondoo wa Mungu, uondoaye oh, mwanakondoo wa Mungu uondoaye makosa yetu…


All: Utujalie amani, utujalie amani

15 views0 comments

Σχόλια

Βαθμολογήθηκε με 0 από 5 αστέρια.
Δεν υπάρχουν ακόμη βαθμολογίες

Προσθέστε μια βαθμολογία
bottom of page