top of page

Chakutumaini Sina

Kwake Yesu nasimama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama, ndiye mwamba ni salama ndiye mwamba ni salama x2

  1. Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana, sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha x 2

  2. Njia yangu iwe ndefu, yeye hunipa wokovu, mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga x 2

  3. Damu yake na sadaka, nategemea daima, yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha x 2

  4. Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani, nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake x 2

4 views0 comments

Comentários

Avaliado com 0 de 5 estrelas.
Ainda sem avaliações

Adicione uma avaliação
bottom of page