top of page

Chakula ni Tayari

Nitamuona Bwana Bwana wangu na upendo wake Bwana Yesu nami unanifaa x 2

  1. Chakula ni tayari, cha Bwana wangu Yesu x 2

  2. Yesu alisema mwili wangu mle x 2

  3. Yesua isema na damu yangu mnywe x 2

  4. Aniaminiye milele ataishi x 2

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page