top of page

Chakula cha Uzima

Mimi ndimi chakula cha uzima x 2. Yeye ajaye kwangu hataona njaa,( mimi ndimi chakula cha uzima) x2

  1. Aulaye mwili wangu na kunywa damu yangu, hukaa ndani yangu na mimi ndani (yake kweli)

  2. Amini nawaambia uzima ni huu baba zetu walikulla maana (jangwani kweli).

  3. Asema twaeni wote huu mwili wangu, asema twaeni wote hii damu (yangu kweli).

  4. Kabla ya kufa, alifanya karamu, ni alama ya upendo kwa mitume (wake nasi)

3 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page