top of page

Chakula cha Bwana

Chakula cha Bwana Twende tukale ametualika mwenyewe, twende ndugu twende, twende na tusiogope tupate uzima wa milele.

  1. Bwana anatuita twende tukale chakula cha mbinguni tukale kwa imani ndugu tutapata uzima.

  2. Twende tukampokee Bwana, akae moyoni mwetu daima tukampokee kwa imani ndugu tupate uzima

  3. Atatulisha na kutunywesha daima tutapokea mema ya mbinguni tukale kwa imani ndugu tutapata uzima.

  4. Yeye ni shina la uzima mpya pia ni njia wazi ya mbinguni tukale kwa imani ndugu tupate uzima.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page