top of page

Call of Jonah

1. Sauti yake Mungu Ikamjia Jonah kuhubiri huko Ninawi x2

Shetani kamwingia Jonah upesi sana, kasema kimbilia mjini Tarishishi, Jonah akapanda katika ngalawa, wakafika kati, kati ya baharí, Mungu naye katuma mawimbi, ( tazama) kilio kikafika, wakamtupa Johan baharini, ( samaki) samaki akammeza.

2.Jonah akawa - Ndani

Ya samaki - Mda wasiku tatu akiomba

Na mwisho wake - Jonah

Akakubali - Kwenda kuhubiri huko Ninawi.


3.Ewe mwenzangu - Nawe

Uko tayari - Kwenda kuhubiri neno lake

Sauti yake - Mungu

Inakuita - Kwenda kuhubiri neno lake.

14 views0 comments

Комментарии

Оценка: 0 из 5 звезд.
Еще нет оценок

Добавить рейтинг
bottom of page