top of page

Bwana Yesu ni Mwili wa Uzima


(Songeeni) kwa karamu ya upendo,(Twende sote) tule mwili wa Bwana (Twende sote) tunywe damu yake Bwana tupate uzima.

  1. Bwana Yesu ni mwili wa uzima tukila tutashibishwa, Bwana Yesu ni damu ya uzima yeye ni uzima.

  2. Tunapokula mwili wake Bwana na kuinywa damu yake, tunatangaza kifo chake Bwana mpaka arudipo.

  3. Aulaye Mwili wake Bwana na kuinywa damu yake, akila bila ya kustahili anajihukumu

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page