top of page

Bwana Yesu kazaliwa

Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya x2 Bwana Yesu kazaliwa tuimbe aleluya x2

  1. Amezaliwa (chah!) pangoni Bethlehemu (chah!) Ndiye Mwokozi (chah!) wetu wa dunia

  2. Leo tufurahi, Masiya kazaliwa Ametuletea, Ukombozi wetu

  3. Ametukomboa, kutoka dhambini Hivyo tuna haki kushangilia

  4. Malaika Mbinguni, pia wanaimba Nyimbo nzuri sana, pia za kupendeza

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page