top of page

Bwana Yesu Kazaliwa

Bwana Yesu kazaliwa, tumwimbie kwa furaha aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya, aleluya.


1. Kwa ajili yetu sisi / amezaliwa kitoto – aleluya

2. Amwzaliwa kitoto / nasi tumepewa Mwana – aleluya

3. Utawala na uwezo / vipo mabegani mwake – aleluya

4. Jina lake ndilo Baba / wa milele tena Mfalme – aleleuya

5. Enzi yake ya kifalme / haitakuwa na mwisho – aleluya

6. Anakalia kitiye / chake Daudi babaye – aleluya

7. Furaha binti sioni / umpokee Bwana wako – aleluya

8. Dunia na ifurahi / nchi na ishangilie – aleluya

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page