top of page

Bwana Yesu asema

Bwana Yesu asema… mimi ndimi mkate wa uzima, yeye ajaye kwangu hataona njaa, naye aniaminiye hataona kiu.

  1. Ewe Yesu Kristu Bwana wa utukufu wewe ndiwe chakula na pia ni kinywaji tushibishe kwa Mwili na Damu yako

  2. Mwili wako Bwana ni chakula cha kweli, Damu yako Yesu ni kinywaji cha uzima utulishe pia Bwana utunyweshe.

  3. Ekaristi Bwana ni uzima wa Mbingu, ulituachia siku ile ya karamu tufanye hivyo kwa ukumbusho wako.

2 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page