top of page

Bwana Yesu Amefufuka

Bwana Yesu amefufuka, atukuzwe Bwana Mungu wetu. Miisho yote ya dunia, imeuona wokovu wetu.


Aleluya, aleluya, ni mzima Bwana amefufuka, mshindaji mauti Mkombozi wa watu, Yesu Kristu Bwana.


Yesu Kristu watu jueni, amefufufka Mwokozi wetu. Mataifa mshangilienei, Bwana Mungu wa wokovu wetu.


Yeye ndiye Pasaka yetu, sadaka ya wokovu wa watu. Ameshinda mauti yetu, aondoaye dhambi za watu.


Wokovu leo watimia, kwa ufufuko wa Yesu Kristu. Tufufuke na yeye Bwana, tuache ya zamani maovu.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page