top of page

Bwana Yesu Alitamka

1. Bwana Yesu alitamka mimi ndimi njia ya kweli, mtu aji kwa Baba yangu ila kwa njia yangu mimi x 2

Hebu jiulize, njia gani uifwatayo x 2 Nawe waelekea wapi na wafuata njia ya kweli x 2.

2. Njia nyembamba yenye taabu, ndiyo iendayo mbinguni na ile pana ya anasa yaelekea jehanamu x 2

3. Ngamia ni rahisi sana, kuingia tundu la sindano, kuliko mtu mwenye dhambi kuingia mbinguni kwa Baba x

4. Mimi ndimi mwanzo na mwisho, mimi ni Alfa na Omega, mtu haji kwa Baba yangu ila kwa njia yangu mimi x 2.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page