top of page

Bwana Yesu Alisema

Bwana Yesu alisema kuleni mwili wangu , kunyweni damu, yangu, iliyotwaliwa mimi ndimi chakula cha kweli na Uzima asema Bwana mimi ndimi kinywaji kweli na uzima asema Bwana

  1. Mimi ndimi njia na uzima asema Bwana, mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya uzima.

  2. Chakula nitakachowapa ninyi ni mwili wangu, kinywaji nitakachowapa ninyi ni damu yangu.

  3. Yeye anatuita sisi ndungu tujongee mezani, tule mwili wake tunywe damuye tupate uzima.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page