top of page

Bwana Yesu Alipokwisha Kula

Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake aliwaosha miguu.


Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake, aliwaosha miguu.


Akawaambia mwafahamu niliyowatendea. Mimi niliye Bwana na

mwalimu wenu.


Nimewapa mfano, ili mtende nanyi vile vile.


Amini amini nawaambia nyinyi Mtumwa si mkuu kuliko Bwana wake.


Wala mtume sio mkuu, Kuliko aliyempeleka

4 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page